×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya's Bold Newspaper
★★★★ - on Play Store
Download Now

Mpango wa Ruto kuhudhuria shere za ODM 20 waibua msisimuko wa kisiasa

Rais William Ruto wakati wa uzinduzi wa daraja la Kasikeu na Mikuyu katika Kaunti ya Makueni. [PCS]

Mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 20 ya chama cha ODM mjini Mombasa, umeibua hisia kwamba huenda kuna makubaliano ya kisiasa yanayochipuka.

Ruto anatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo muhimu mwishoni mwa wiki hii.

Get Full Access for Ksh299/Week
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in