Mazungumzo yasiyo ya miegemeo Bipartisan baiana ya Chama cha Azimio na Muungano wa Kenya Kwanza yanatarajiwa kuanza leo Alhamisi.
Imebainika kwmaba mirengo hii miwili imeafikiana kuanza mazungumzo hayo, katika mkutano wa maridhiano uliofanyika jana muda mchache tu baada ya taarifa kuibuliwa kuwa mirengo hiyo miwili huenda ingefanya mikutano miwili tofauti leo hii kujadili mwelekeo wa mazungumzo hayo.