The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Mwaniaji ugavana kwenye Kaunti ya Nairobi, Askofu Margaret Wanjiru ataendelea kusalia korokoroni kwa siku tano zijazo baada ya mahakama kupinga ombi lake la kuachiliwa kwa dhamana. Wanjiru alifikishwa mahakamani mapema leo akikabiliwa na tuhuma za kuzua vurugu na kuharibu mali, mashtaka ambayo ameyakana.
Wanjiru ni mmoja wa wanaowania ugavana kwa tiketi ya Jubilee, Kaunti ya Nairobi.
Alikamatwa jana baada ya yeye na wafuasi wake kukivamia kituo cha kura cha City Park na kuharibu karatasi za kupiga kura.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.