Mbunge wa Mathira, Ragathi Gachagua ameitaka Idara ya Upelelezi, DCI kukoma kuingiza siasa katika uchunguzi wa kifo cha mwanawe Mbunge Maalumu, David Ole Sankok.
Badala yake, Gachagua ameitaka DCI kuruhusu familia ya Sonkok kuomboleza kifgo cha Mumesi Sanko ambaye anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi wiki iliyopita nyumbani kwao.