×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Wabunge waongoza maandamano kulalamikia matrela Bungoma

Mbunge wa Kabuchai Majimbo Kalasinga na mwenzake wa Webuye Mashariki Dan Wanyama wamewaongoza wakazi wa Chwele katika Kaunti ya Bungoma kufanya maandamano ya amani kulalamikia ongezeko la visa vya ajali kwenye maeneo bunge hayo.

Waandamanaji walifunga Barabara Kuu ya Lwakhakha - Chwele - Bokoli na kuzuia matrela yanayopita kwenye barabara hiyo wakisema ni chanzo cha visa vya ajali hizo.

Viongozi hao wanasema barabara hiyo ilitumika wakati wa janga la covid 19 ili kupunguza msongamano kwenye mpaka wa Malaba ila imeendelea kutumika baada ya msongamano huo kuisha.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in