Maafisa wa polisi wa kituo cha Longisa, katika Kaunti ya Bomet wanaendelea kumzuilia mvulana wa miaka kumi na mmoja anayedaiwa kukiri kumuua binamuye wa miaka saba.
Inadaiwa mvulana huyo amewaeleza polisi kuwa mamaye alimpenda binamu yake zaidi kulinganishwa na yeye.
Kamanda wa Polisi wa Bomet Esther Seroney amesema tayari uchunguzi umeanzishwa kabla ya hatua kuchukuliwa.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and
international interest.