×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Usiongeleshe hubby matope

News
 Ndoa ni noma lakini usipigishe wife atope. Picha: Hisani

Ndoa ni noma, lakini najua hakuna mwanaume mwenye akili poa ataamuka asubuhi na kufukuza bibi bila sababu.

Ni noma kupata husband ametoka job then akifika home zake ni kuambia wife ajikate na asirudi kwake tena.

Nimeona mabibi wengi wakiwachwa na mabwana zao juu ya vitu zingine zenye hazi make sense. Wengine wana divorce mpaka watu wa kijiji wanashangaa. Reason ni vile watu wa kijiji waliona eti familia yenu ni poa na mnapendana sana.

Familia ni moto wakuotea mbali. Mara mob utaona bibi na bwana wako sawa sana wakiwa huko nje, lakini wakirudi kwa nyumba ni maadui. hapo ndio shida ya kuachana huanzia, huku bwana akisema punda imechoka.

Kwa nini bibi huachwa na bwana? Bibi wakuachwa na bwana yake hujilikania kwa umbali. Hata majirani wanamsengenyanga. Utaskia majirani wakisema huyu atakuja wachwa. Ona venye anaongeleshanga bwana yake vibaya mbele ya watu.

Bibi wa kuongelesha bwana yake shonde mbele ya raaiya huyo huachwa. Bibi wakuambiwa kitu na bwanake mara kama nane na hasikii huachwa. Unaambiwa na bwana yako hivi, na wewe unafanya vile unataka. Utawachwa totoise.

Pia ukiwa bibi lazy usishangae bwana akikuacha kwa mtaa.Kumbuka mwanaume hawapendi wamama lazy. Kama wewe ni wife, basi uvivu weka kando. Lakini unapata bibi aliwachia mboch kupika, kupakua, na hata kushughulikia watoto.

Yaani kila kitu ni maid. Bibi ni mvivu mpaka kwa kupigwa kuni. Mzee akitaka kukarangiwa mboga, mama hakarangi — eti mama anadai amechoka.

Bibi type ingine yakuachwa ni yule wakundanganya bwana yake akidhania bwana yake ni tothi. Kumbuka yale yote yafanyiwayo kwa giza siku moja hufichuliwa. Na yakifichuliwa, basi ni kutengana tu bila mbrrr cha yeyote. Bwana anakupigia simu, akiuliza uko wapi babe? Unamdanganya live, eti niko home, na saa hizo uko sure hauko home, uko na sponser mahali mkitoa lock. Bwana yako akijua uko na sponsor nikutengana papo hapo. Bibi wakuleta majamaa kwa nyumba ya bwanake na bwanake hayuko eti ni mabeste wake huachwa baadae.

Hakuna vile utaleta majamaa kwa bwanako aibebe virahisi. Mbona usikue na marafiki wa ama, wale watu saa zote wanapigia bibi ni majamaa. Akipigiwa na dame ni mmoja kati ya majamaa kumi. Ukiwa bibi wa tabia kama hizo hamtaenda mbali na bwanako unless ubadilike juu utawachwa.

Wa Chinku wanafanya job ital

Siku za kwanza kwanza wa chinku kukuja Kenya, watu walikua wanadhania wamekuja tu kupiga matotoise wakenya kuni.

Eti juu kulikua na hizo story eti ooh wachinku wamepiga madem wengi wa Kenya ball, but hata kuni ikitembea, wa chinku wanafanya job yao vi ital. Barabara wanazipeleka unyoya unyoya, teke teke wakisonga. Nilipitia Outering road nikaona enyewe wanafanya kazi. Wamepea wakenya wengi works na inakua fiti. Na wale wakenya mnafanya job na wa chinku, tafadhali msilale kwa darasa, chukuene msomo mbili tatu za wa chinku zinaweza zikawasaidia baadae wa chinku wakirudi kwao.

Hongera sana kwa wale wote wanafanya job ya Outering road juu ni kazi ngumu na mnaipeleka na pace inafaa.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Latest Articles

.

Recommended Articles