×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Mbusii: Kuona wife war ni ufala mtupu

News
 Nashangaa sana eti leo bado unapata jamaa bado anapiga bibi yake vita utadhani wako war Vietnam. Photo: Courtesy

Kuna mafala wengine bado hawana rada ya kwamba enzi za kupiga bibi kama mtoto ziliisha.

Yani hizo time zimepitwa na wakati. Bibi yako sio mtoto, in fact ni mtu mzima kama wewe. Kukosana ni kawaida, na msipopatana, suluhisho sio vita. Mbona ulime wife kama shamba juu mmekosana? Mbona msikae down kisasa na kubonga kama adults then mnamalizia na kupigana kuni kusafisha roho zenu? Mkifanya hivyo bila shaka hiyo maneno inakua solved vipoa.

Nashangaa sana eti leo bado unapata jamaa bado anapiga bibi yake vita utadhani wako war Vietnam. Eti bibi akikosea kidogo ni kupigwa war. Badala upige bibi yako kuni ni kumpiga vita saa zote.

Juzi kuna dame mwingine nilisikia kwa radio akisema eti bwana yake ni askari. Eti huyu hubby anamtandikanga kama amemueka pingu. Dame kuulizwa kwa nini anachapwa na pingu anasema eti ako na mbio kuliko bwana yake, so anamfunga pingu ndio asikimbie. Nilishangaaa sana na wanaume wengine. Utapigaje bibi yako kama mnyama na ulimuoa juu umempenda? Kama unafanyanga hivi jua wewe ni fala. Inafaa ujue kupiga bibi ngumi iliisha, siku hizi ni kupiga gumzo.

Kazi ya polisi sio ya mamako

Kuna kazi zingine watu wakipata wanajionanga ni kama wao peke yao ndio wanaweza wakafanya hio job.

Job yoyote unafanya haijakuruhusu kubehave ni kama uko above the law. Nasema hivyo juu kuna maraiyah mob wakipata job kwa gava wanaona ni kama wamepata job heaven.

Unapata jamaa anaanza kuvunja sheria na madharao mingi akidhania ako above the law. Sheria ni kama msumeno, inakatanga pande zote mbili bila huruma yeyote. Unafaaa ujue hio ni kazi umeandikwa na hii kazi sio ya mamako, unaweza ukachujwa.

Kuna makarao wawili walinijamisha sana last Sunday huko Rironi ukielekea Limuru. Nilikuwa pale Swatch place, then nikaona hawa mabeast wawili.

Tukiwa hapo baze, majamaa wakakuja kama wamebebwa na pikipiki. Kufika baze wakandondoka kwa nduthi na wakaanza kwenda zao. Jamaa wa pikipiki akawaitisha doo lakini badala ya kupewa chedas, alipewa kofi moja kwanza. Then wakaweka huyo dere wa nduthi yake pingu.

Kitu iliudhi ni vile hawa cops walikuwa wamevaa plain clothes, kwa hivyo hauwezi jua ni polisi. Na hata kama wangekuwa na uniform, nani alisema polisi wabebwe sare kwa nduthi? Kwani serikali itakuwekea ngata? Yani walichapa huyu kijana mbaya mbovu na ni juu ameitisha haki yake. Hio ni ushenzi. Usitumie kazi kunyanyasa watu wanyonge.

Related Topics


.

Popular this week

.

Latest Articles