×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Radio presenter Mbusii: Mbona uchome gari ya msee juu team yako imetingwa?

News
 Gari hili lilichomwa na mashabiki wa Gor Mahia    Picha:Felix Kavii/Standard

Kukasirika sio dhambi juu hata Yesu ali-jam siku moja na raiya fulani kwa kufanya church kuwa soko.

Although alishika nare na hao masafarah, hasira yake hakupelekea watu wengine kwingine. Yani ali-deal na wale wamemkosea, si wale innocent.

Ndio maana ukijamishwa na mtu, ama hata kitu, hio hasira usipelekee raiya ingine.

Lazima malizana na mwenye amekukosea na usikuwe sumbua.

Unapata mtu amekosana na makanga halafu hio hasira anapeleka nyumbani ama hata kazini.

Na anajua poa hawa watu kwakumkosea. Kama ni donda amekukosea bora udeal na yeye directly na mumalizane.

Mafans wa football ndio nataka kubongesha kwanza juu wako na hio tabia ya kupelekea watu wengine hasira na frusrations zao. Hii tabia hainiletangi bidii hata kidogo.

Unapata raiya wameenda kuwatch game halafu team yao inanyoroshwa kimadharao kama five nil hivi halafu mafans wanatoka grao kama wameshika nare.

Kidogo wanapeleka hasira zao kwa duka za watu. Hasira zao zinafanya wapore watu wakivunja shop zao eti juu team yao imelimwa mabao na team ingine.

Hasira zenu mnafaa kupelekea team manager ama kwa team management but sio kupiga dinga za watu na mawe mkizivunja ma windscreen eti juu umekasirishwa na team.

Tulengeni tabia kama hizi ndio maishe iwe nyweeeee.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles