×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Radio presenter Mbusii: Usicheze na bibi ya wenyewe

News
 Photo: Courtesy

Kuna vitu za kuchezea na kuna zile isijaribu hata siku moja kuchezea. Yaani ni moto mbaya.

Kila mtu anaambiwangwa akiwa mtoto ya kwamba usicheze na moto juu moto itakuchoma. Watoi wote wanajua hii story ya moto.

But sasa naambia watu wazima ya kwamba wajue vitu za kucheza. Zile moto lazima ukalie vako.

Kitu ya kwanza ni kazi. Cheza na mshahara lakini usicheze na kazi. Watu wengine wameishi wakitafuta kazi na hawajawai kupata. Ndio maana naambia wale wenye wako works waheshimu hio job.

Pili, usicheze na bibi ya mtu.Cheza na girlfriend wako, cheza na bibi yako, lakini kama umechoka kuishi duniani, cheza na bibi ya mtu mwingine.

Usicheze na bibi ya mtu unless uko na haraka ya kusonga kwa baba direct. Hata kama ni bibi ya brother yako mpatie heshima zake — usichezecheze na yeye ovyo ovyo ukisema eti ni sister-in-law.

Tumeona mwanaume wakikwana kwa bibi za watu, tumeona wanaume wameuliwa na bwana za watu juu ya kucheza na bibi zao.

Hii ni lesson tosha ya kukuonyesha ya kwamba kucheza na bibi ya mtu ni hatari.

Tafuta bibi yako uchezee na uwachane na wa wengine.

Ingine ni barabara.

Wacha kucheza kwa barabara.

Accident hapa Kenya haziwezi isha kama raiya wanaendelea kucheza na barabara.

Mchezo mingi kwa barabara ndio inafanya ajali mob zinahappen. Unapata jamaa ako na nanga yake wanapenya kwa highway wakipigana mamunju na saa hiyo jamaa ako speed ya 120kph.

Cheza kwa bar, yes, lakini ukilewa usicheze na barabara eti unaendesha dinga ukiwa tei kuruka. Tafuta dere sio mlevi akupeleke kejani.

Raiya wakutrod mguu pia tuko na mchezo mbaya sana kwa roadi. jamaa anaona ako kwa highway na anataka kuruka chuma katikati ya baro avuke ile pande ingine ya njia na hapo kuna foot bridge.

Yani hataki kuitumia — eti anatumia short cut anasahau inaweza kua short cut ya kumfikisha kwa baba. Tumia foot bridge wacha mchezo.

Related Topics


.

Popular this week

.

Latest Articles