The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Geoffrey Kariithi akagua gwaride la heshima lililoandaliwa na polisi wa utawala, Embakasi jijini Nairobi, mwaka wa 1971. [Pambazuko]
Alifahamika kama mkuu wa wafanyikazi wa umma na katibu wa kudumu katika A?si ya Rais na katibu wa baraza la mawaziri aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi katika serikali ya rais mwanzilishi wa taifa la Kenya Mzee Jomo Kenyatta.
Geoffrey Kariithi Karekia, maarufu G.K. alichukua hatamu za uongozi kutoka kwa mwenzake Duncan Ndegwa mnamo 1967.
Get Full Access for Ksh299/Week
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access