×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Vyama vyaendelea kujisajilisha

Vyama vya kisiasa nchini vinaendelea kujizatiti katika kuhakikisha kuwa vinatimiza matakwa ya sheria mpya ya vyama vya kisiasa, inayowataka kujisajili upya kabla ya muda wa mwisho uliowekwa wa tarehe 30 mwezi huu kumalizika. Kufikia sasa, takriban vyama kumi na mbili vimepata upya vyeti vyao ,hii ikiwa ni idhini kamili kutoka kwa msajili mkuu wa vyama kwamba vinaweza kujibwaga ulingoni kwa uchaguzi mkuu ujao.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Judges vetting