Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Mwanamke atoroka hospitalini Bungoma akiwa na dalili za virusi vya korona

Huenda mwanamke mwenye umri wa miaka 31 akafunguliwa mashtaka kwa kutoroka hospitalini alikokuwa amelazwa akiwa na dalili za virusi vya korona.

Mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina Brenda Naliaka alikuwa akizuiliwa katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Kimilili, Bungoma baada ya kulazwa huko huku madaktari wakifuatilia hali yake ya afya.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics

korona Bungoma