The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Saa chache tu baada ya Bweni la Shule ya Upili ya Wasichana ya Gekomoni kuteketea mapema leo Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Thomas Nyaencha amekiri kwamba wanafunzi wengi walikuwa wakilala katika bweni hilo kuzidi idadi inayostahili.
Akiwahutubia wanahabari shuleni humo Nyaencha aidha amelalamikia hatua ya serikali ya Kaunti hiyo kutokarabati barabara zinazopita nyuma ya shule hiyo hali iliyowapa ugumu maafisa wa kuzima moto wa kaunti kufika shuleni humo ili kuukabili moto huo ulioketeza mali ya thamani ya shilingi milioni 1.2.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.