Wakimbizi Chepchoina wataka kufidiwa sawa na wakenya wengine

Wakimbizi kwenye Kambi ya Chepchoina Kaunti ya Trans Nzoia wametoa wito kwa serikali  kuingilia kati na kuwasaidia  kwa kuwafidia kama ilivyowafanyia wakimbizi wengine kwenye maeneo mengine nchini ili kupata makazi, kuwaelimisha wanao na kuchangia  ukuaji wa uchumi wa taifa.

For the latest news in entertainment check out Sde.co.ke and Pulser.co.ke , for everything sports visit Gameyetu.co.ke and ladies we have you covered on Evewoman

Wakimbizi Kambi Fidia