The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Wakili Assa Nyakundi anayedaiwa kumpiga risasi bila kukusudia hadi kufa mwanawe mwenye umri wa miaka 29 amekimbizwa katika Hospitali ya Nairobi baada ya kuugua ghafla kufuatia shinikizo la damu.
Maafisa hao wa Kitengo cha Upelelezi, DCI wanachunguza jinsi wakili huyo anadai kumpiga risasi mwanawe wakiwa nyumbani kwao katika mtaa wa Muthaiga. Alipomatawa, Nyakundi ambaye ana leseni ya kumiliki silaha alidai kuwa alifyetua risasi iliyompiga mwanawe kifuani bila kukusudia muda mfupi baada ya wao kurejea nyumbani kutoka kanisani.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
🔥 Easter Sale Ends Tonight!
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.