The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Watafiti nchini Uingereza wamebainisha kwamba raia mmoja wa taifa hilo aliyekuwa akiugua na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi, HIV hana tena virusi hivyo. Mgonjwa huyo ambaye pia amekuwa akiugua saratani amekuwa akifuatiliwa kwa kipindi cha miezi 18 sasa na kuabinika kwamba viini vinavyosababisha maradhi hayo havionekani tena katika mwili wake baada ya kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha hali hiyo kwa kuwekewa chembechembe zisizokuwa na maradhi.
Watafiti hao wa Chuo cha University College London, Imperial College London, na vyuo vikuu vya Cambridge na Oxford hata hivyo wamesema bado ni mapema kutangaza rasmi kuwa mgonjwa huyo amepona kabisa. Mwanamume huyo alibainika kuugua ugonjwa wa Ukimwi mwaka 2003.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.