Umoja wa Afrika leo umetengaza uteuzi wa Kiongozi wa Chama cha ODM Riala Odinga katika wadhfa wa msimamizi wa ujenzi wa Muundo Msingi barani Afrika. Katika taraifa mwenyekiti wa umoja huo Moussa Faki amesema Raila atashirikiana na umoja huo kuimarisha juhudi zake katika muundo msingi.
Raila katika wadhfa huo pia amejukumiwa kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa viongozi wa kisiasa na kiuchumi kufanikisha moango huo.