×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Landlord anakunyima hao juu una sura mbaya

Usidharau ule tenant amerent kwako juu akikuachia hiyokeja hautaishi hapo

Maisha hapa Nairobi ni noma ile mbaya. Hakuna watu wanakuwanga na madharau hapa mtaani kama ma landlords. Unapata landlord anasahau kuwa hao ma tenants pia ni binadamu. I think 90% ya raiyah za Kenya ni wale wamerent keja na hivyo ndivyo life hukua kwa sababu hatuwezi kua same sisi wote.

Kuzaliwa yes tunazaliwa the same way, lakini after hapo life ni yako, na inakutegemea wewe mwenyewe. Landlord wengine joh hata kama keja ni zenu, msisahau mnahitaji tenant ndio mambo ikue irie kwenu.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in