Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Wambui burial tussle - Swahili

Mzozo unatishia kuibuka tena kati ya familia ya s.m otieno na ile ya marehemu wambui otieno kuhusu mahala atakapozikwa wambui. Hii ni kufwatia madai kutoka kwa ukoo wa umira kager ambao unasisitiza kuwa  kulingana na mila za jamii ya waluo wambui anapaswa kuzikwa kando ya mumewe huko siaya. Familia ya wambui nayo imesema kuwa wambui atazikwa kulingana na matakwa yake nyumbani mwake huko matasia ambapo wambui alikuwa amejichimbia kaburi miaka ishirini iliyopita. Familia hiyo imetangza siku ya alhamisi kama siku atakayozikwa wambui.
Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News