Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Michael Joseph ndiye mwenyekiti wa bodi ya KQ

Na Mike Nyagwoka

Aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom, Michael Joseph ametwaa rasmi uwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege la Kenya Airways. Joseph ambaye ametwaa wadhifa huo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo, Dennis Awori kujiuzulu rasmi Jumatano.
Akitangaza hatua hiyo, Waziri wa Uchukuzi, James Macharia amesema Joseph ameteuliwa kutokana na tajriba ya usimamizi aliyodhihirisha katika Kampuni ya Safaricom.
Balozi Awori amekuwa akishinikizwa kuondoka na muungano wa marubani KALPA uliomlaumu kwa kutozingatia mkataba wa kurejea kazini walipogoma mapema mwaka huu. Marubani hao vilevile wamemtaka Afisa Mkuu Mtedaji, Mbuvi Ngunze kuondoka.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902