×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Polisi wahusishwa tena na mauaji

Na, Beatrice Maganga

Baada ya kuripotiwa kutoweka takriban wiki moja iliyopita kutoka Kaunti ya Meru, mwili wa muuguzi kwa jina Job Omariba mwenye umri wa miaka ishirini na minane hatimaye umepatikana katika Hifadhi ya Maiti, kwenye Kaunti ya Machakos. Kwa mujibu wa afisa anayesimamia Kitengo cha Kukabili Uhalifu, Noah Katumo, mwili huo ulikuwa na majeraha mikononi na miguuni.
Omariba alitoweka Agosti 21 katika hali ya kutatanisha kabla ya mwili kupatikana eneo la Salama na kusafirishwa hadi hifadhi ya maiti.
Inadaiwa kwamba mwanamume huyo alihadaiwa na mwanamke mmoja kusafiri naye hadi Nairobi ambapo angemsaidia kuimarisha biashara yake. Tayari polisi watatu na dereva mmoja wa texi wametiwa mbaroni kwa kuhusishwa na mauaji hayo.
Kisa hiki kinajiri huku polisi wakihusishwa na kisa tofauti cha mauaji ya mwanamume aliyekuwa amelazwa katika hospitali moja Kaunti ya Kitui.
 

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902