The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Sasa hivi mechi mbili za ligi ya soka nchini zinaendelea katika miji ya Thika na Nakuru. Mjini Nakuru uwanjani Afraha sasa hivi nyasi zaumia ambapo mwenyeji Ulinzi Fc baada ya kulitwaa taji la vikosi vya majeshi Afrika Mashariki inapambana na Posta Rangers waliowafunga Sofapaka bao moja kavu mnamo Jumapili iliyopita. Mjini Thika vijana wa James Nandwa wanapepetana na vijana wa Bandari ambao wamejitupa ugani wakiwa na mori kufuatia ushindi wao wa taji la KECOSO mjini Nakuru wikiendi iliyopita.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.