Effects of lawlessness Somalia

Na sasa tuvuke mpaka na kuingia nchini Somalia, ambapo mwanahabari wetu Zawadi Mudibo amekita kambi....leo hii katuandalia taarifa maalum kuhusu taifa hilo ambalo halijakuwa na amani kwa miongo zaidi ya miwili sasa, tangu kuangushwa kwa mbabe Siad Barre.