NOCK on 2012 Olympic preps

Matayarisho ya olimpiki inazidi kupamba moto na kamati ya olimpiki hapa nchini ilifanya kikao chake cha mwisho hii leo na kujadili mikakati ya kujiandaa kutayarisha timu zitakazofuzu kwa mashindano hayo yatakayofanyika mwezi julai mwaka ujao nchini uingereza. Afisa mkuu wa shirikisho hilo stephen soi amesema kuwa matayarisho zaidi yataandaliwa mwakani.

Related Topics

NOCK Olympic