Stanchart marathon color

Baada ya KTN kupeperusha mbio za Stanchat marathon moja kwa moja hii leo kulikuwa na mengi ya kujivinia kutoka kwa wanariadha walioshiriki na hata wanahabari wa runinga ya KTN waliokuwa uwanjani nyayo. haya yakijiri wanariadha wengine wasio na uzoefu waliona siku mrefu.