×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Cancer month (Pap Smears)

Jee wewe kama mwanamke umetembelea kituo cha matibabu kufanyiwa uchunguzi wowote mwilini? Na kama si hivyo kuna wakati wewe husikia maumivu haswa mwilini na unakosa kuchukua hatua yeyote ya kufanyiwa uchunguzi kutambua tatizo ni lipi. Pap smear kwa lugha ya kimombo ni uchunguzi wanaofanyiwa wanawake mara mbili kila mwaka kugundua endapo wana kansa au magonjwa yeyeote yanayogundulika kupitia kiini kinachotolewakwenye uke wao. Katika makala yetu ya wikendi mwezi huu sonono la saratani tutakua tunaangazia pandashuka zinazoandamana na kuugua saratani. Zippora Karani anatufungulia ukumbi kwa kudadisi umuhimu wa kukaguliwa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in