×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Building collapses - Swahili

Idadi ya watu waliofariki kufuatia kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa huko luanda Vihiga imetimia wanne. Juhudi za kusaka miili zaidi ziliendelezwa usiku kucha, miili mitatu ikipatikana chini ya vifushi vya nyumba hiyo, watu sita kufukuliwa wakiwa hai na kukimbizwa hospitali ya Maseno, kabla ya juhudi za kuwaokoa kusitishwa usiku wa manane kufuatia mvua kubwa. Naibu waziri mkuu Musalia Mudavadi aliewasili eneo la mkasa ameahidi kwamba wizara yake itahakikisha sheria madhubuti za ujenzi zimewekwa kwenye matumizi kuhakikisha mikasa kama ile imeepukwa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in