Swala la umiliki mashamba kwa ajili ya ujenzi nchini limegonga vichwa vya habari katika siku za hivi majuzi kutokana na utata wa umiliki pale ambapo idadi kubwa ya wale wanaonunua sehemu za ardhi hujikuta wameuziwa mashamba yasiyo halali...zawadi mudibo azungumza na mtaalamu wa swala hili, profesa Paul Syagga, ili kutoa mwelekeo kwako wewe unayenuia kujipatia sehemu kwa minajili ya ujenzi, hasa katika maeneo ya miji...
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
- Unlimited access to all premium content
- Uninterrupted ad-free browsing experience
- Mobile-optimized reading experience
- Weekly Newsletters
- MPesa, Airtel Money and Cards accepted