Eldoret piano boys

Kanisa la African inland church Kapkessum eneo bunge la Keiyo kaskazini lina kila sababu ya kujivunia kutokana na mmoja wa mwana kwaya wake chupukizi mwenye kipawa cha kipekee.daniel Kiplagat,mwenye umri wa miaka 11 sasa amekuwa tegemeo kubwa kwa kanisa hilo kutokana na umahiri wake wa kucheza ala ya piano.

Related Topics

Eldoret piano boys