Wako farewell party - Swahili

Mkuu wa sheria anayeondoka Amos Wako amesema kuwa japo utendakazi wake umekumbwa na utata, ameiwacha ofisi hiyo na msingi dhabiti itakayomfaidi mrithi wake. Semi ambazo ziliungwa mkono na baadhi ya wakuu serikalini akiwemo spika wa bunge Kenneth Marende ambaye alikariri kuwa wako amewacha pengo ambalo anatumai mrithi wake ataweza kuziba.inatarajiwa kuwa profesa githu muigai atachukua nafasi ya mkuu wa sheria rasmi hapo kesho.