×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Kirinyaga attacks-Swahili

Nyumba ya jamaa mmoja anayedaiwa kuagiza kufanyika kwa mauaji ya mfanyibiashara mmoja kwenye kijiji cha Kiringo kwenye kaunti ya Kirinyaga imeteketezwa moto na mali ya thamani isiyojulikana kuharibiwa. Hata hivyo mshukiwa huyo hakuwepo  nyumbani mwake wakati wa tukio hilo huku kukiwa na madai kwamba wanakijiji hao walidokezewa kuhu su mauaji ya mfanyibiashara huyo na jamaa mmoja aliyeagizwa kutelekeza mauaji hayo ambaye pia aliuawa..
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in