×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Police recruitment - swahili

Tume inayosimamia utekelezwaji wa katiba cic imeitaja  shughuli ya kuwasajili makurutu wa polisi iliyong'oa nanga kote nchini hii leo kama ambayo haikutilia maanani usawa wa kijinsia, kwa kutowapa wanawake nafasi sawa na wanaume. Ilikuwa ni shughuli ya kwanza kabisa ya usajili wa makurutu kutekelezwa baada ya katiba mpya, hata hivyo shughuli yenyewe ilisimamiwa na kamati maalum kinyume na tume ya huduma ya polisi kama ilivyonakiliwa kwenye katiba mpya.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in