×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Siasa Za KKK

Viongozi kutoka jamii ya waluhya wamejitokeza kumzomea mbunge wa Cherangany Joshua Kutuny kwa semi zake mjini Eldoret na kumtaka mbunge wa Eldoret kaskazini William Ruto kueleza bayana msimamo wao wakidai viongozi hao wana njama ya kumtumia eugene wamalwa na kisha kumtelekeza kupitia muungano wa KKK.Hata hivyo Ruto alijitokeza na kujitetea kwa kusema kuwa mrengo wa KKK haupo na kwamba umebuniwa na wenye ari ya kuwachafulia jina.kulingana na Ruto ari yao ya kuja pamoja ni kuleta mageuzi katika mfumo wa uongozi kwa kuwapa vijana fursa ya uongozi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Siasa Za KKK