KNCHR Dhidi Ya Ruto

Waziri wa sheria Mutula Kilonzo amemtaka mbunge William Ruto kuwasilisha ushahidi dhidi madai aliyoilimbikizia tume ua KNCHR na kamishna wake Hassan Omar ya kwamba alikuwa akiwapa  mwongozo mashahidi watakaowasili mbele ya jaji kalpana rawal kuhusiana na kesi za ghasia za baada ya uchaguzi. Kadhalika tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu KNCHR,ilitetea ripoti yake na kuitaja kuwa bila dosari. Kando na hilo kamishna Hassan Omar hakujibu madai ya ruto . Hapo jana mbunge Ruto alidai Hassan Omar aliwalipa mashahidi fedha ili watoe ushahidi bandia dhidi yake.

Related Topics

KNCHR Dhidi Ya Ruto