Tetesi Za Ufisadi

Waziri wa maji Charity Ngilu alijipata kubanwa mapema hii leo mchana pale wasimamizi wa bodi ya maji walipokuwa wakiendelea na mkutano wao wa kumtaka mkurugenzi wa bodi ya maji kungatuka mamlakani. Inasemekana mwenyekiti wa bodi hiyo aliafikia kukubali  kuwepo kwa masuala ya ufisadi ndani ya shirika hilo na kusema kuwa iwapo ukweli utabainika basi wote waliohusika watachukuliwa hatua za ki-sheria.

Related Topics

Tetesi Za Ufisadi