Makundi Haramu

Serikali ya Kenya imepiga marufuku makundi yote haramu thelathini na tatu yanayozua hofu miongoni mwa wakenya wapenda amani. Kupitia gazeti la serikali ni kwamba yeyote atakayepatikana kuwa mfuasi wa makundi haramu atapata kifungo cha maisha.

Related Topics

Makundi Haramu