Hali Ya Maisha

Kwa mara ya kwanza wakenya wasiokuwa na uwezo wa kupata maeneo nadhifu ya kuelekea msalani imejulikana.Idadi kubwa ipo mkoani kaskazini magharibi ambapo wengi wa wanaoishi eneo hilo huelekea msalani kichakani.la kushangaza ni kuwa mbinu hii ya kuenda msalani kichakani si geni hata jijini Nairobi. Matokeo hayo yanaashiria kuwa huku idadi ya watu ikiendelea kuongezeka, viwango vya umaskini navyo pia vinaendelea kupaa, sasa serikali inawaeleza wakenya kuwa ni sharti sasa waanze kupanga uzazi ili kupmabana na changamoto hizo.

Related Topics

Hali Ya Maisha