×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Jamii Ya Sengwer

 Je mtazamaji, umewahi kusikia kuhusu jamii ya Sengwer hapa nchini Kenya? ni jamii ambayo pamoja na jamii zingine ndogo ndogo zimekuwa zikilia kuwa serikali imewatenga na kukosa kuwajumuishwa kwenye miradi ya ustawi na ufanisi. Wasengwer wanaishi katika milima ya Cherangany na awamu hii wanafurahia katiba mpya wakisema kwa mara ya kwanza kilio chao kuhusu ardhi na haki zao za kibinadamu kitasikizwa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Jamii Ya Sengwer