×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Msako Wa Changaa

Maafisa wa polisi mjini Thika wamewatia nguvuni watu kumi na kunasa lita kadhaa za changaa baada yakufanya msako mkali mjini humo. Msako huo wa changaa unajiri baada ya visa kadha wa kadha vya vifo vinavyosababishwa na kileo hicho haramu kuripotiwa  kutoka maeneo mbalimbali humu nchini katika siku za hivi majuzi.  

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Msako Wa Changaa