Wahamiaji Haramu

Wahamiaji haramu 89 wanaotoka nchi ya Ethiopia wamekamatwa hii leo katika eneo la Kikuyu, viungani mwa jiji la Nairobi. Wahamiaji hao walinaswa katika nyumba iliyokodishwa na mwanamke mmoja mwenye asili ya kisomali na haijulikani iwapo walikuwa safarini kuelekea nchini nyengine au la.

Related Topics

Wahamiaji Haramu