Wasiwasi Moyale

Ni nani anayehusika na mauaji ya wakenya huko Moyale?  bila shaka haya ni maswali tata yanayohitaji majibu siku nne tu baada ya jamii mbili kugeukiana na kusababisha maafa yaliyoacha vifo kadhaa. Kuna hofu kuwa wanaotekeleza mauaji hayo ni waasi wa oromo liberation front waliopigwa marufuku nchini Ethiopia. Idadi ya waliouawa sasa imefikia sita.

Related Topics

Wasiwasi Moyale