×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Shutuma Kwa Polisi

Tarehe 17 mwezi mei itakuwa kwenye kumbukumbu ya wengi haswa wakaazi wa likoni eneo la Mombasa, ni siku ambayo juhudi za polisi  kukabiliana na majambazi zioliwaacha wenyeji na makovu na majonzi, hii ni baada ya baadhi ya wenyeji hao kujeruhiwa kwa risasi wakati polisi walipokuwa wakikabiliana na majambazi…..wengi wamejipata vilema na sasa wamekuwa mzigo mkuu kwa familia zao zilizokuwa zikiwategemea kwa riziki. Na sasa wanauliza mbona polisi wakafanya hivyo, je azimio lao lilikuwa kuwanasa majambazi au kuwaacha raia na makovu wasiyostahili?

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Shutuma Kwa Polisi