Hofu Ya Uchochezi

Maeneo kadhaa sasa yameghubikwa na hofu kuhusiana na matamshi hayo ya wanasiasa huku baadhi wakidai kutoroka kutoka baadhi ya maeneo nchini.Licha ya baadhi ya viongozi kufikishwa mahakamani kuhusiana na matamshi ya uchochezi,Purity Mwambia anatuelezea jinsi hofu inavyozidi kutanda mashinani kadri siku ya kura ya maamuzi inavyokaribia.

Related Topics

Hofu Ya Uchochezi