Mauaji Kayole

Inadaiwa mauaji ya msuururu yamekumba tena eneo la Kayole na kusababisha vifo vya  watu wanne kwa muda wa wiki moja. Kulingana na wenyeji jamaa mmoja amakuwa akishambulia watu eneo hilo na kukakata watu na kisha kuwafyonza damu.

Related Topics

Mauaji Kayole