Mauaji Nyahururu

Mwalimu mmoja ametoweka baada ya kutekeleza mauaji ya kinyama huko Nyahururu. Mwalimu huyo anadaiwa kumuua mkewe na mwanawe usiku wa kuamkia leo kwa kuwakata kata. Polisi wanamsaka mwanamume huyo ambaye mkewe na mwanaye walifariki walipokuwa wakipata matibabu katika hospitali ya Nyahururu.

Related Topics

Mauaji Nyahururu