Kura Ya Wanawake

Huku tarehe ya kura ya maoni ikikaribia mchakato wa katiba unazidi kuibua hisia mbali mbali.muungano wa kutetea haki za wanawake nchini FIDA umeelezea msimamo wake wa kuiunga mkono rasimu ya katiba kwa kigezo kuwa katiba hii inashughulikia vyema maswala ya wanawake, hivyo basi kuwaomba wanawake kuipigia kura Agosti nne.Walizungumza haya walipokutana na naibu mwenyekiti na mkuu wa mikakati wa shirika la Standard Paul Melly.  

Related Topics

Kura Ya Wanawake