Msururu Wa Mauaji

Bibiye Philip Onyancha mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu kumi na tisa ambaye amekuwa akiangaziwa na runinga ya Ktn kwa siku mbili mtawalia amejitoa wazi wazi na kuwaomba msamaha familia ya waasiriwa wote walioangamia mikononi mwa bwanake. Huku hayo yakijiri polisi bado wanaendelea na uchunguzi zaidi safari hii mjini Nakuru ambapo wameandamana na mshukiwa huyo.

Related Topics

Msururu Wa Mauaji