Kanisa katoliki sasa limejitokeza na kuelezea ghadhabu yake kuhusiana na kupitishwa kwa rasimu ya katiba bila ya marekebisho kufanywa kwenye kipengee kinachozungumzia suala la uavyaji mimba.Kadinali John Njue amesema kwamba kanisa hilo halitokubali sheria yeyote inayokwenda kinyume na imani ya kanisa hilo, hayo yamejiri huku rais Mwai Kibaki akisema anaunga mkono rasimu hiyo na kuhakikishia wakenya kwamba watapata katiba mpya.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
- Unlimited access to all premium content
- Uninterrupted ad-free browsing experience
- Mobile-optimized reading experience
- Weekly Newsletters
- MPesa, Airtel Money and Cards accepted