×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Sakata Ya Makaburi

Baadhi ya washukiwa wa sakata ya ufujaji wa pesa za ununuzi wa ardhi ya makaburi wamefika katika tume ya kukabiliana na ufisadi ya KACC kuhojiwa na maafisa husika. wakili Newton Osiemo anayedaiwa kupokea pesa kwa niaba ya naibu waziri mkuu Musalia Mudavadi aliwasili katika afisi za KACC na kuhojiwa kwa takribani saa sita licha ya yeye kukana hapo jana kuwa hana uhusiano wowote na Mudavadi. Hapo jana maafisa wa KACC walimhoji Mudavadi kuhusiana na sakata iyo hiyo mwendo wa asubuhi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Sakata Ya Makaburi